Wednesday, 4 March 2015

Huyu sio kichaa , wala sio kapurwa .. ni msela wetu mtaani anatuchotea maji mtaani na hapa ametoka kibaruani sijui wapi .... mwanaume kazini ... TUTOKEVIPI MAISHA YALETE MAANA


No comments:

Post a Comment