Mechi ya Mchezo wa tenis kati ya
raia wa Argentina Leonardo Mayer na Joao Souza wa Brazili imevunja
rekodi ya mchezo huo hapo jana kwa kuwa mechi pekee ya mchezo wa tenis
kuchezwa kwa muda mrefu kuliko wowote uliowahi kuchezwa katika michuano
ya Davis Cup.
Katika mechi hiyo Mayer wa Argentina alimfunga Joao Souza wa Brazil kwa jumla ya seti tano.
No comments:
Post a Comment