Saturday, 18 April 2015

GOOGLE YAPEWA WIKI 10 KUJIBU MALALAMIKO ..>>

Dakika 41 zilizopita

Habari kuu ya teknolojia wiki hii ni le ya muungano wa ulaya uliolalamika kwamba Kampuni ya Google ilikuwa ikijipendelea zaidi katika soko lake.Google sasa ina wiki kumi kujibu malalamishi hayo licha ya kusema kuwa haikubaliani na madai hayo na kwamba iikuwa ikijiandaa kujitetea.

No comments:

Post a Comment