Monday, 11 May 2015

BONGO FLAVOR ALL STARS NI MIKUNO YA UKWELI BIZNES PAKI .. source GP


Baadhi ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la East Coast, Gwamaka Kaihura  GK na Mwana FA wakikamua.
Shetta akipagawisha jukwaani na baadhi ya warembo waliohamasika na wimbo wake wa ‘Shikorobo’ na kuamua kuungana naye jukwaani.
Chege na Temba wakionyesha uwezo wao.
Kundi la  Makomando likiimba.
Msanii wa Bongo Fleva, Msamy, akipagawisha.
Shetta akicheza na mrembo jukwaani.
Mwana Hip Hop Fid- Q  akikamua.
Chege akiimba na shabiki.
Joh Makini akiwajibika.

WASANII mbalimbali wa Bongo Fleva usiku wa kuamkia jana walikusanyika ukumbi wa Mashujaa Grill & Lounge (zamani ulijulikana kama Business Park) uliopo Victoria jijini Dar es Salaam, ambapo walifanya makamuzi ya pamoja kwenye tamasha lililobeba jina la Bongo All Stars.

No comments:

Post a Comment