Monday, 11 May 2015

MACHINGA ...shughuli ya kibiashara ya kipato cha chini zaidi .. ilikua maarufu sana wakati wa mzee MKAPA na wakapewa jina baada ya kabila la mzee mkapa .. wamachinga kwakua wengi walitoka kule alikotoka mzee mkapa .. Nimekutana na hawa jamaa njiani tu mida hii .. nikatamani kuwasemesha ... kitanzania wakakubali .. hilo duka la msela ni 40,000/= tu hivi na kwa siku anapata faida elfu nane au kumi hesabu ya juu huyu mwana anatengeneza laki tatu au pungufu kidogo kwa mwezi .. wewe ukipaki passo nje NET TAKE hame ni ngapi ?? - mkopo ? Ni lazima tubadili maisha .. YALETE MAANA tutokevipi? SAFARI YA MATUMAINI ... DARAJA TUMELIFIKA ... TEAMLOWASSA . . all waether 16 # *+/=




No comments:

Post a Comment