Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya
Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo
kumshtumu katika mtandao wa facebook na watu wengine wa familia yake.
Emmanuel Adebayor ambaye pia anaichezea Togo alisema wiki iliopita kwamba mzigo wa kifedha wa kuisadia familia yake pamoja na ugomvi katika familia yake umemuahiribia kazi yake.
Amesema kuwa anazitaka familia nyangine barani afrika kupata funzo kutoka kwake.
No comments:
Post a Comment