Nipo na msela alonichana anaitwa ABASI ni omba omba wa moroco pale .. anaishi na shangazi yake na pia kaka yake na wadogo zake wawili watoto wa Shangazi .
Huyu jamaa amegoma kukubali moja kwa moja kua pesa anayopata husaidia familia ... ila katika peleleza yangu aka ni pas kia kua hua anatoa pesa ya matumizi home ..
''Mi wananilea sikatai lakini na mimi si natoa hela ya matumizi ... '' nimenukuu maneno ya ABASI .
Yupo moroco pale na mchongo wake ni kuomba omba .. Abasi atatoka vipi ?

No comments:
Post a Comment