Monday, 2 March 2015
VIJANA WA JKT NI KIBERITI PEMBENI YA BOMU LA AJIRA
MAZOEZINI .. DYU !
Kwa mtazamo wangu nadhani mwanangu kwa mtu mwenye mazoezi kama haya anajijengea kujiamini kupita kiasi hasa anapokua mbele ya raia ambao hawajapata mafunzo kama haya ... lakini pia anakua na muda mrefu sana wa kukaa bila kua na kitu cha kuteka akili yake kwahivyo ... atacheki action movies na series za kutosha akitoka hapo all that he feels is what he just saw .. yes .. si kichwa cheupe hana cha kuwaza zaidi ya machungu ya maisha ..
Akichoka kukaa home ataenda kwa masela wake na wataanza stori za mpira badae siasa alafu ukitaka kujua hali ni mbaya wanamaliza na maisha .. hapo sasa watamlaumi kila mwanasiasa .. watailaumu CCM ...
(chama tawala) watamlaumu yeyote anaekuja kichwani muda huo for the difficulties they face ..
Hii sio sawa na si jambo la kupuuzia kwakua huyu kijana amefunzwa kupiga risasi alafu yupo mtaani hana mchongo wowote mtaani kuna mkwanja .. watu mtaani wana hela ... biashara zinafanyika tena kwa uwazi wakati mwingine ...just think of wht can happen man ...
Mazoezi baba ....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.jpg)
.jpg)


No comments:
Post a Comment