Wednesday, 4 March 2015

MVUA YA MAWE YALETA MAAFA MAKUBWA SHINYANGA .. >>

     

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

No comments:

Post a Comment