SIASA TUFANYE ILA ... TUIHESHIMU SANA AMANI ILIYOWEKWE NA UTAWALA TULIO NAO !
Baba wa Huyu mtoto ni raia wa Kongo , hapo usoni alipigwa na Nyundo ,
mamake alipoteza maisha kwenye tukio hilo ambalo lilitokea karibu na
sokoni Durban . Source TANURU LA FIKRA
No comments:
Post a Comment