MAANDAMANO NA VURUGU ZA RWANDA ZITAJADILIWA LEO NA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI HAPA DAR ES SALAAM LEO ...>>
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.
Mkutano huo utakuwa chini
uenyekiti wa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete aliyeuitisha baada ya
ujumbe wa mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Jumuiya hiyo kwenda
Bujumbura nchini Burundi wiki iliyopita. Rais Pierre Nkurunziza
ambaye analaumiwa kugombea urais kwa muhula wa tatu, anatarajiwa
kuhudhuria mkutano huo, kusikiliza hoja za viongozi wenzake.
Lakini
Je nao raia wa Burundi wana maoni gani kuhusu mkutano huo wa marais wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoanza leo nchini Tanzania?
No comments:
Post a Comment