KILIMO KIJANA !Mchongo wenye sura ya kiboya ila unaolipa kupita maelezo .
Kwanza nianze kukujulisha maana ya kilimo na mchongo wake .,
Kilimo si mahindi , ufuta , alizeti tu ! hapana kilimo ni aina yoyote ya maajabu ya udongo yanoyouzika .
hata kuzalisha chakula cha familia tu inafaa kwa kijana au mzazi .
Kwa muda mrefu sana nimekua nikiwaza namna inayoyofaa kwa kijana wa tanzania kuilisha africa na baadae dunia .
Nimepitia vikwazo vingi sana kufikia hapa ninapokuandikia mselaangu , mimi binafsi nimkulima nililima nikauza na nikanunua na kuuza pia mazao .
huu ni mchongo wa maajabu , ki vipi ?
Ok ! mchongo wa kilimo unahitaji mtaji kidogo sana wa pesa na kujitolea kutunza mashamba yako kama unavyoitunza bia yako ., ardhi imepewa aamajabu na mwola wetu whereby unatupa chini mbegu chache na zinakupa mara 1000x ya ulichopanda .
Kijijini pamekua pa ki 4 , masela wengi hawapataki kwakua hakuna umeme , bar , mziki , supermaket , club , miyeyusho hamna ha madem ... ! of coz ni hali ya ujana mwana sio ?
Kwa kua ukweli ni silaha tuuseme ili utusaidie mwanangu ,,, ili tukopeshwe mkwanja na tutoke kilimo ni moja ya njia kuu za mtoko mwana .
kupitia kilimo tuombe kuoewa soko la uhakika na serekali ambae ndio mnunuzi mkuu , tupelekwe kwenye maeneo yaliyotengwe kwa kilimo na kwa kanda .
kule tukaze wana kwa miezi mitatu tu ya mwanzo tunaanza kuwalipa wakubwa mkwanjawao tunaamua kulima wenyewe kibiashara .
Chief ! kama tunaamua leo kulima tukailisha tanzania tuu ! tumetoka , ila hitaji ni kubwa zaidi la chakula ..
Twende Congo tuwalishe , Kenya kabla ya kukamilika mpango wao pia tuwalishe , cental Africa twalishe , tuuze nyama toka dodoma hapo (eneo la ufugaji tulifanye ) , tuze chakula ya ngo'ombe , tuuze maziwa , tusindike , tuwalishe watu asili na chai hii ndio michongo ya kutoana .
TIKITI MAJI KI PESA ... uliza sasa ...
Watermelon... Ruaha Mbuyuni Hapa.
Ideas in action, make money, nothing else. No PhD required.
Unaweza kujiajiri kwa kuuza matikiti.
Mtaani kwetu tunanunua tikiti moja shilingi elfu 2000 mengine elfu 3000.
Yanaweza kukupeleka kwenye level kubwa ya maisha.
Weka malengo yafanyie kazi. Ama endelea kusubiri matangazo ya kazi uliyoisomea chuo.
Go Big Or Go Home.
MADE IN TANZANIA BIDHAA ZA KILIMO .
1979 MADE
Hizi ni bidhaa za kilimo zinazotengenezwa na NYUMBU kiwanda cha JWTZ , Power Tiller , Trekta na Gari ya Shamba .
Kuna umuhimu wa Viwanda vya ndani kuwezeshwa kwa njia mbalimbali ili viweze kuzalisha bidhaa bora zinazokwenda na wakati na zenye gharama nafuu ili wahitaji waweze kujipatia kwa matumizi yao ya kila siku.
No comments:
Post a Comment