ASKARI WAKIFANYA DORIA MISRI .
Kanali mmoja wa polisi Nchini Misri na dereva wake wamepigwa risasi na kuuawa.
Kanali
Wael Tahoun alifariki hapo jana Jumanne jioni, walipokuwa wakielekea
kazini mjini Cairo. Hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulio hilo,
lililotokea saa chache baada ya mahakama Nchini humo, kumhukumu jela
miaka 20, aliyekuwa Rais wa kiislamu Mohammed Morsi.
No comments:
Post a Comment