Tuesday, 21 April 2015

ZITTO AMJIBU MNYIKA .. MINYUKANO MWA.. MWI..


                                                             ZITTO KABWE

Kiongozi wa ACT Mzalendo Zitto Kabwe amjibu Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuhusu yeye kuwa adui namba moja wa CHADEMA,Zitto anasema anamshangaa kiongozi kijana kuongea maneno kama hayo badala ya kuwaza maendeleo ya nchi.
Unazungumziaje huu mzozo wa wanasiasa hawa?

No comments:

Post a Comment