Baada ya kuwapa majibu wale wote ambao waliokua wanadai kwamba ameshuka
kiwango, hivi sasa watu wametaka kumjua zaidi huyo baby wa kipa Manyika
Jr. Kama story ya kuwajibu wanaosema ameshuka kiwango cheki kwenye story
za jana utaiona.
Detail za mpenzi wa Manyika Jr zimenifikia leo kwamba msichana huyo
ambaye yupo mapenzini na kipa Manyika, alikua mpenzi wa msanii wa Yamoto
Band Dogo Aslay.
Story zilitoka kwamba Aslay na Naima walikua mapenzi kiasi kwamba hadi Naima alichora tattoo ya jina la Aslay kwenye mkono wake.
Soudy Brown mzee wa udaku aliwai kutoa udaku kwambwa msichana huyo huyo
Aslay aliporwa na msanii/mwanasoka Tundaman, lakini Tunda alikanusha
habari hizo.
Lakini hivi sasa anaonekana yuko mapenzini na kipa Manyika na hii ni Baadhi ya Picha Wakiwa Kitandani .....


No comments:
Post a Comment