MWAFRIKA KUSINI AKIMSULUBU MWAFRICA MWENZIE ..
Wanajeshi wanatarajiwa kuanza Doria kudhibiti mashambulizi dhidi ya wageni
Jeshi
nchini Afrika kusini limeanza kuelekea kwenye maeneo ambayo
yameathiriwa na wimbi la machafuko dhidi ya wahamiaji kutoka nchi
nyingine za Afrika.
Watu wameonekana katika makundi wakiwa wamebeba mishumaa karibu na jengo la Mahakama kuu mjinin Johannesburg wakitoa wito wa kukomesha machafuko,ambayo yamegharimu maisha ya watu saba.
Mashambulizi haya yamezusha ghadhabu katika nchi nyingine za kiafrika.
Mnamo mwaka 2008, Jeshi la Afrika kusini lilisambazwa nchini humo baada ya Watu 63 kuuawa kutokana na mashambulizi ya wenyeji dhidi ya wageni
No comments:
Post a Comment