Umoja wa Mataifa unasema unahofia
kuwa huenda watu 800 walifariki siku ya Jumapili, pale mashua waliyokuwa
wakilitumia kuvuka bahari ya Mediterenean ilipozama karibu na Libya.
Shirika
la Umoja wa mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR, limekuwa
likizungumza na manusura baada ya kuwasili katika kisiwa cha Sicily
mapema leo Jumanne.Tuesday, 21 April 2015
HUENDA 800 WALIFIA BAHARINI ...>> bbc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment