Mahakama nchini Misri inatarajiwa
kutoa hukumu kwenye kesi kadha zinazomkabili rais wa zamani Mohammed
Morsi ambaye aliondolewa madarakani na jeshi mwaka 2013.
Mawakili wanamtetea bwana Mosri wamasema kuwa huenda akakabiliwa na hukumu ya kifo. Mamia ya wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood wamehukumiwa kifo katika mikakati ya kukabiliana na kundi hilo lililopiwa marufuku na rais wa sasa Abdul Fattah al-Sisi.
Kundi la Muslim Brotherhood limemlaumu rais kwa kutumia mahakama kama silaha.
No comments:
Post a Comment