Saturday, 18 April 2015

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO ...THAMANI YA ZIADA - ADDED VALUE

THAMANI YA ZIADA - ADDED VALUE campaign ....
Tunaendelea na mwanzo wa mwendo mrefu wa ktafuta THAMANI YA ZIADA kwenye kila kitu unachokifanya kujitengenezea kipato 



 ... Na bado tupo BAGAMOYO kwa ndugu zetu wa SOKO la SAMAKI tukitafuta kujua thamani ya ziada kwenye BIASHARA HII...
fuatilia mtiririko hapa hapa TUTOKEVIPI?

No comments:

Post a Comment