ALBERT MSANDO : ...>> MWIGULU MUONGO !
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara
zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo
onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha
masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu
jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili
tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
No comments:
Post a Comment