Wabunge wa Jamhuri ya Demokrasi ya
Congo wamekubali mswada ambao wadadisi wanasema unakusudiwa kumpa Rais
Joseph Kabila idhini ya kubaki madarakani, baada muhula wake wa pili
kumalizika.
Rais Kabila anamaliza muhula wa pili mwaka ujao.
Katiba ya nchi haimruhusu kugombea muhula wa tatu.
Mwandishi wa BBC mjini Kinshasa anasema wabunge wengi wa upinzani walisusia kura hiyo ya bunge, na kuielezea kuwa mapinduzi ya katiba.
No comments:
Post a Comment