Sunday, 18 January 2015
Mashambulizi ya anga ya Israel yauwa mtoto wa aliyekua kamanda wa Lebanon HIZBOLLAH Imad Mughniye,... Jihah Mughniye .
Mashambulizi hayo ya anga ya israel dhidi ya syria pia yalichukua maisha ya wapiganaji wa tano ,
Imad Mughniye aliyeuwawa mwaka 2008 , alikua ni miongoni mwa watu waliokua wakitafutwa zaidi na marekeni na ilitolewa zawadi ya dola million tano $5 mill, kwa kichwa chaki ikiwa atapatikana mzima au amekufa .
mwezi October mwanae huyo alipewa cheo cha ukamanda wa HIZBOLLAH GOLAN division kama alivyokua baba yake na kuuwawa leo baada ya shambulizi la anga la ndege moja (helkopta) ya kijeshi ya Israel ilipofyatua mabkombora mawili katika msafara wao .
Imad alikua mmbaya sana wa mauji ya kuteka nyara ambapo amewahi kuteka na alishaua watu kadhaa na pia kushiriki katika kulipua balozi za marekani na Israel .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment