Monday, 26 January 2015
WEEZY vita rasmi na BIRDMAN ... NI KWIKWIII ... >>>
Rapa Lil wayne ameamua kumburuza mahakamani msela na boss wake BirdMan kutokana na mvutano wa kitambo wa muda unaofaa kuachia album ya carter v ya weezy .
Njia za kifamilia (kisela) zimeshindikana so ngoma inagengeshwa kwa pilato " weezy amedai kua anamdai Birdman zaidi ya dola milioni nane na kwamba yeye hataki vurugu na m2 bali anadai chake asepe kama TONNY , inachana mix tape ya weezy .
Birdman nae anapasuka that hatoachia carter v kwa muda anaotaka weezy bali ataiachia kwa muda wake mwenyewe .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment