POLISI WENDA JELA MIAKA 20 KWA KUMUUA MWANA HARAKATI RWANDA ..>>
Ni yule aliyekua akichunguza ulanguzi wa madini mpakani .. na aliyeongoza vita dhidi ya ufisadi .
Gustave Makonene, aliyekuwa anafanya kazi na shirika la kimataifa la
Transparency International, aliuawa Julai 2013 mjini Rubavu karibu na
mpaka na DRC.
No comments:
Post a Comment