Kampuni moja ya kimarekani imegundua kifaa kinachoitwa "semenspy"
kitakachokuwa na uwezo wa kutambua iwapo mwenza katika mahusiano
amechepuka....mwenye mashaka na mwenzie atahitjika kuchukuwa nguo za
ndani za mwenzie na kutumia kifaa hicho...majibu utayapata muda huo huo
JIULIZE NCHI GANI WATAANZA KUKITUMIA AFRICA ?
No comments:
Post a Comment