Wednesday, 25 March 2015

CHUNGU YA SIASA ... NAPE NA LOWASSA ...





 Ndugu yangu , Naomba uniruhusu leo nisiandike chochote .... Zaidi ya siasa .. .. unajua kuliko mimi kua siasa ndio mchezo dume dunuani .. sawa na hapa kwetu siasa huu ndio wakati wake ...

Naomba kumuongelea mzee Lowassa kidogo tu ... Na kwa kuanzia naomba niongelee nafasi ya urais .
Kwa namna ninavyosoma mchezo huyu mzee anfaa kua kocha wa hii mechi anafaa kutuandaa kwa vizazi vijavyo .., nasena haya kwa makusudi nikiwa namaanisaha .

Tukiachana na skendo ya Richmond  , Lowassa ni mpiga kazi hodari sana na pia mjanja sana . ,, sawa hili taifa la tanzania leo hii ili kupata maendeleo ya kweli linamhitaji mtu kama Lowassa ... Ndio tupo pabaya tunahitaji mjanja tunataka mtu wa kutupa mbinu hata za kupora ilimradi taifa lijitoe Tutokevipi  ... Ushawahi kumuona mwizi anajiibia ?? Wapi ?

Sasa tukubali huyu mzee ni mbaya ki utawala anweza sana ndioo .. ni kweli si tunajua .

Sasa basi turudi kwenye swala la kiuongozi Lowassa amekua kimya kwa miaka nane hajawahi kusema chochote kuhusu kashfa ya Richmond unajua Kwanini ? Na ghafla anatangazwa kutaka kugombea urais .. amka mwanaaa .. huu ulikua mchezo from day 1 na msela akaupiga punch ..
Lakini yote kwa yote lazima atatueleza mchawi wa 2008 alikua nani .

Lakini pia nimuongelee Nape .. Huyu msela mi simuelewi kabisaaa ... Kwa kuanzia wacha niseme niliyoyasikia kwenye idhaa moja ya kiswahili kwamba Mzee Lowassa kwa mujibu wa Nape ananunua watu kumfuata ki ushawishi ... Nape wewe Nape wewe ... Ni shilingi ngapi inatosha kununua utu heshma ya mtu .. sh. Ngapi ?????? Nape kama unasema kweli mzee Lowassa ananunua watu amatumia shilingi ngapi toka mwaka juzi mwaka jana mwaka huu na kwenye kampeni .. itakua sh. Ngapi hiyoo ? Na hao wanaonunua hawachoki kutafuta watu wapya ? Acha kupakazia Nape umekua sasa na umekua ki chama pia .. ustake tuaibishane we knw u man inn and out ... We can do it .. acha kukivuruga chama acha kujitumia chama kujinufaisha .

Tutaendelea ....


No comments:

Post a Comment