Wednesday, 18 March 2015
YA WEMA SEPETU ....
Wema Sepetu Amezua Timbwili jipya huko Arusha Tripple A baada ya yeye na Wapambe wake Kutaka kuingia kwenye show aliyokuwa anafanya Ali Kiba katika Ukumbi Huo ...Inasemekana Wema Sepetu na Wapambe wake baaada ya kumaliza Sherehe yao waliamua kwenye Show ya Kiba hapo Tripple A lakini walinzi waliwazuia mlangoni kwa kile wanachoamini kuwa Wema hakuja pale kwa nia njema bali kutafuta Kiki kwa maana anajua Ali Kiba ni Adui wa Diamond hivyo yeye kwenda kwenye Show ya Ali Kiba ni choko choko na Huenda angepiga mapicha na Ali Kiba na kupost Mtandaoni ili kumuumiza Diamond kama alivyofanya kwa Ivan aliyekuwa mume wa Zari huko South Afrika....
Je unaona walinzi wa Ali Kiba walikuwa Sahihi Kumzuia Wema Sepetu Kuingia Kwenye Show ya Kiba? FROM UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment