Sunday, 1 March 2015

Huyu jamaa alizaliwa ili awe Komba , alikua yenye ndio ishara ya moja kwa moja ya chaguzi ... swal ni je muziki wa komba utaishi ?

 
Huyu jamaa alifanikiwa kuufanya uchaguzi wa nchini mwetu kua kama wa ladha yake kutokana na muziki wake .. ni mfano wa amwimbaji Jimmy rives kua mpambaji wa sikukuu ya christmas ...

Uchaguzi wa tanzania ukifika ila ueleweke ni lazima tusikie '' yule pale yule pale tunamuoona '' lakini swali ni iwapo nyimbo hizo zitaendelea kuishi baada ya kifo chake ...

It is simple to think on top .... muziki wa komba ulikua ni kwa matumizi ya wakati huo huo kwakua ulimtaja mgombea kwa jina ...

Ukiwaza zaidi KOMBA MPYA anapaswa kuzaliwa sasa ili kusiwe na kazi ya kumuuza wakati unapofika wa yeye kutuuza  kwa wananchi .. au tuwakubali walipo sasa na tumsahau kabisa Komba ... na tuikubali dhambi ya usaliti wa aliyekua nguzo ya chama cha mapinduzi ....

R.I.P man....

 


No comments:

Post a Comment