Sunday, 1 March 2015

MAKAMU WA RAIS AJITENGA SIARALION ... NI KUTOKANA NA EBOLA


Makamu wa Rais nchini Siaralion amejiweka ndani ya karantini kwa muda wa siku 21 bila kakutana watu hii ikiwa ni kufuatia kufariki kwa mlinzi wake kwa EBOLA .

 Samwel Sam- Sumana ni Makamu wa Rais nchini SIARALION ...

No comments:

Post a Comment