Tuesday, 19 May 2015
CCM KWELI MAJUHA ..... >>
LEO KARIBIA VIJANA 200 WAKIZANZIBAR NA WATANGANYIKA WAMECHUKULIWA NA GAR ZA JKU NA MAGAR YA KIJESHI KUTOKA BRANCH MABALI MABALI ZA CCM, VIJANA HAO WAMECHUKULIWA NA KWENDA KUWAPATIA VIPANDE VYA KUPIGIA KURA, MAGAR HAYO YALIONDOKA SEHEM ZA BRANCH MAJIRA YA SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI NA KUWAREJEHA VIJANA HAO MAJIRA YA SAA NANE NA NUSU ZA MCHANA WAKISHUKA MAENEO MBALI MBALI YA MJIN UNGUJA, VIJANA HAO TAYARI WAMESHAPATIWA VIPANDE HIVO, LAKINI WAKUMBUKE KUA VIJANA WALE WENGI WAO WALIKUA WANAHITAJI KUPATA VILE VIPANDE NA SIO LENGO LAO KUIPIGIA KURA CCM source ZNZ KWANZA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment