Kiungo wa Real Madrid Gareth Bale
ameelezea matarajio yake ya kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo msimu
ujao, japokuwa kumekuwepo na tuhuma nyingi kutoka kwa mashabiki wa
Madrid na baadhi ya vyombo vya habari nchini Hispania kutoridhishwa na
kiwango cha mwanandinga huyo ikilinganishwa na pesa zilizotumika
kumnunua.
Tuesday, 26 May 2015
NITABAKI REAL MADRID ASEMA BALE ...>>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment