Aseme nini ? Mfurahi au ataje tofauti kati yake na kijana wa jamaa ambae uongozi kaupata juzi , serekalini kaingia juzi baada ya babake kua ze pre... Na anamali za hatari kuzidi hata huyo LOWASSA aliekuapo kwenye serekali kuanzia miaka ya 70 utamwambia nini ?
Pia LOWASSA ametoa ushuhuda wa alivyoona wenzake wanakufa katika VITA ya tz na Uganda kwa uzalendo wa nchi yao leo hii nchi haina mwenyewe kila kitu kinakwenda mrama .. man ! Mnataka nini nyie ??? Eeeh ! ?? Mnataka nini nawauliza ?? Mnataka kuua hawa watu wa mungu kwenye nchi yao kama BUEUNDI ? Acheni hizoo.. stop ! Kila siku LOWASSA .. LOWASSA .. LOWASSA acheni mnataka kutawala kimabavu au acheni Tanzania imemkubali kwa matendo yake sio kelele zenu .. hafai hafai .. nyani haoni Kund..le sio eeeh! Hamuoni tulipo sasa ? Nani wa kutuvusha basi sawa .. tuwaachie tupeni mtu safi kwenye chama chenu nani ??? Mpaka wewe uliemwandika vibaya Lowassa na wooote ni balaa kwa wiziiii .... Mnatisha all that u want ni kuendelea Kula tu ndio maana Lowassa hamumtaki mnajua atawazibia RIZKI .. napenda inukuliwe kauli ya LOWASSA .. '' SINA KINYONGO NA MTU ROHO YANGU NI NYEUPE TUCHAPE KAZI TUIJENGE NCHI '' ccm ndio chama nilichokulia kama hunitaki wewe kwenye chama hiki ONDOKA wewe .
Pia TUTOKEVIPI? Tumewahi kuhoji Je? Chama cha CCM ni cha wanachama au wanafamilia ??? Jibu toka kwa mzee ni kua ni chama cha watanzania na asiemtaka mwenzie kwenye chama asepe yeye ...
Doh ! Nimechemka kidogo .. ila 100 much love to friends
Tembelea blog yetu kwa sura mpya ! Sasa blog yetu inamuonekano mpya na ongezeko la page ya picha na video
www.tutokevipi.blogspot.com
Instagram - tweeter
TUTOKEVIPI?
Tembelea blog yetu kwa sura mpya ! Sasa blog yetu inamuonekano mpya na ongezeko la page ya picha na video
www.tutokevipi.blogspot.com
Instagram - tweeter
TUTOKEVIPI?
No comments:
Post a Comment