MAMA wa mtoto wa mwanamuziki Wizkid wa Nigeria aitwaye, Sola Ogudugu, amefichua kwamba mara yake ya kwanza kufanya mapenzi ni pale alipokutana na mwanamuziki huyo.
Alisema alipogundua ana ujauzito alichanganyikiwa, kwani alikuwa katika mwaka wa mwisho wa masomo yake chuo kikuu. “Kwa kweli nilichanganyikiwa sana. Nilikosa furaha. Wewe fikiria unapokuja kugundua baada ya muda mrefu kwamba una ujauzito!” alisema Ogudugu.
No comments:
Post a Comment