Kocha wa timu ya soka ya West Ham
United ya England Sam Allardyce amefichua mpango wake wa kuondoka
klabuni hapo hata kama timu hiyo ilimpa nafasi ya mkataba mpya.
Allardyce ametumia miaka minne kuifundisha West Ham lakini wagonga nyundo hao wameamua kutompa tena mkataba mpya katika majira haya ya joto.
"sikutaka kubaki, naweza sema kama tulikuwa tunafikra sawa kama na wao hawakuwa wenye kunihitaji pia" alisema Kocha huyo.
No comments:
Post a Comment