Tuesday, 19 May 2015

POROSHENKO AMNYOOSHEA KIDOLE PUTIN ...>>

    
Rais wa Ukraine, Petro Poroshenko
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ameiambia BBC kuwa hamuamini kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika harakati za kuleta Amani Mashariki mwa Ukraine.
Vladimir Putin
Poroshenko anasema anahofia kwamba huenda kukawa na kutoku elewana kati ya mataifa hayo mawili.
Hata hivyo ameielezea hali hiyo kuwa ni vita kamili kati ya nchi hizo. Ameongeza kuwa awali katibu mkuu wa Marekani John Kerry alifanya mazungumzo na kiongozi huyo kabla ya mazungumzo yao na Rais wa Urusi Putin.

No comments:

Post a Comment