MSELA MWANASHERIA WA KENYA ANATAKA KUOA MTOTO WA RAIS OBAMA...! source BBC
Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa
mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix
Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa
ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa
kuzungumzia swala hilo na baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya
,mwezi Julai.
No comments:
Post a Comment