Timu ya soka ya Chelsea itashuka
katika dimba lake la Stamford Bridge kuwakaribisha Paris St Germany
katika mchezo wa klabu bigwa ulaya.
Kiungo Nemanja Matic anatarajiw kurejea katika mchezo huu huku John Mikel Obi hatokuwepo katika kikosi hicho sababu ya maumivu ya goti.
Mchezo mwingine utakua ni kati ya Bayern Munich dhidi ya Shakhtar Donetsk mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Allianz Arena.
Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilienda sare ya bila kufunga
No comments:
Post a Comment