Wednesday, 6 May 2015

POST YA ZITO KABWE FACEBOOK ....>>>

Uchaguzi wa Uingereza mwaka huu unashindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja. Waziri Mkuu David Cameron wa Chama cha Kihafidhina anaonekana atang'ang'ania madaraka hata kama 'coalition' yake na Waliberali itakosa wingi wa viti Bungeni. 

Kuna mashaka makubwa uchaguzi utarudiwa. Lakini kwanini UK hakuna Grand Coalition? 

Mbona wakati wa Vita ilikuwepo? Au wakubwa wa vyama hawataki kulisema hivi sasa? Wananchi wa UK ni kama wanasema vyama vikuu viongoze pamoja

No comments:

Post a Comment