TUTOKEVIPI? tupo njiani kuelekea ARUSHA .... KESHO pale TRIPLE A CLUB ndio ilee tar. 16 ambayo marafiki wa LOWASSA watakuwepo pamoja kufurahia weekend na itakua PATI NYEUPE YA marafiki wa LOWASSA .. Pia kule BURUNDI mapinduzi yameshindikana ... waliojaribu kupindua SEREKALI WAMESHINDWA .. rais NKURUNZINZA amerejea nchini kwake ...BBC
No comments:
Post a Comment