Saturday, 2 May 2015
MAYWEATHER ....
Mayweather na Pacquiao wakitambiana.
Japo tayari ni tajiri, Mayweather ambaye jina lake la utani ni Money, atapokea zaidi ya dola milioni 150 na Pacquiao kama dola milioni 100.Ni Mayweather au Pacquiao Las Vegas? Pacquiao yeye ametoka jamii ya kimaskini huko Ufilipino na kuna wakati katika maisha yake ya utotoni aliwahi kulala njaa.
Achilia mbali wanaoangalia kwenye TV, wengi wa mashabiki huko Marekani wangependa kuona makonde yakirushwa 'LIVE' hivyo wamekubali kutoa ada ya hadi dola milioni 100 kwa kichwa kushuhudia wakiwa 'LIVE' nje ya ulingo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment