Sunday, 3 May 2015

MGOMO TENA ... NI BALAAA !

Mabasi katika kituo cha mabasi cha Mkoa, mjini Bukoba yakiwa yameegeshwa kufuatia mgomo wa mabasi nchi nzima uliotekelezwa na madereva wa mabasi hayo.
Bajaji zikibeba abiria.Abiria wakitahamaki baada ya kuona mabasi hayatembei hivyo kukoswa usafiri wa kuwafikisha sehemu mbalimbali wanakoelekea.
Abiria wakiwa wanasubiri hatima ya safari zao huku jeshi la polisi likiimarisha usalama eneo la kituo cha Mabasi yaendayo mikoani hapo mjini Bukoba.

No comments:

Post a Comment