Saturday, 16 May 2015

SIJAOLEWA NA MUME WA MTU ...'' MAIMATHA WA JESE ...>>>

  • View Blog
  • Mtangazaji Maimartha Jesse akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online jana.
     
    Maimartha akiongea jambo wakati wa mahojiano hayo.
     
    ...Akiongea jambo kwa mshangao.
     
    Maimartha akiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano.
     
    Maimartha akipozi na Mwanahabari Mkongwe wa GPL, Walusanga Ndaki.
     
    Maimartha akiwa na Mwandishi wa Habari za Burudani GPL, Andrew Carlos.
     
    Mai katika pozi na Editor wa Global TV Online, Melkiadi Oreje.
     
     
    Mai akiwa na Mtangazaji wa Global TV Online, Shorvieny Mohammed.
    MTANGAZAJI Maimartha wa Jesse amefungukia uhusiano wake ndani ya ndoa na kusema kuwa hajaolewa na mume wa mtu.

    Maimartha aliyazungumza hayo jana aliopotembelea ndani ya Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar na kukanusha kuwa kabla ya kuolewa alikutana na mpenzi wake huyo akiwa hana mke.
    “Sijaolewa na mume wa mtu jamani. Wanaosema hivyo nawashangaa,” alisema Maimartha.
    Maimartha aliongea mengi kuhusiana na maisha yake sambamba na biashara zake ikiwa ni pamoja na kuuza vipodozi na dawa za kuongeza makalio kwa wanawake.
    Kwa mahojiano kamili yatapatikana hivi karibuni ndani ya Global TV Online kupitia

    No comments:

    Post a Comment