Wednesday, 13 May 2015

TUTOKEVIPI? Loaded ...


Haya ni maneno mazito toka kwa WAHIMILI wa dola na walinzi wetu ... 
Na pia ni ONYO ! Kwa wanasiasa ni muhimu kuheshimu makubaliano ... 
Nchi yetu inamkubali sana LOWASSA kwa mapenzi na IMANI ila chama chake kinalazimisha kumpinga .. kwa shinikizo la FAMILIA na marafiki wa r1 ..hii sio sawa urais sio wa FAMILIA yao CHAMA cha mapinduzi sio chama cha FAMILIA yao ... Na nchi yetu sio miliki ya CHAMA ...CHA MAPINDUZI ... So waamue kama tunavyotaka WANANCHI au the new party will takover the country au tutawaomba wanajeshi watusaidie kama BURUNDI .
Nayasema haya kwa UCHUNGU SANA ..  MAISHA NI MAGUMU MNO .
LOWASSA ANA KIWANGO CHA JUU CHA UTAIFA ... 



No comments:

Post a Comment