JANA RAIS WA BURUNDI HAKURUDI KWAO BURUNDI ... ALIBAKI TANZANIA ... MWAKA 93 RAIS WA WAKATI HUO WA RWANDA ALITUNGILIWA NA KUUWAWA NA WANAJESHI AKIWA KWENYE NDEGE NA RAIS WA RWANDA NA WALIKUA WAKITOKA TZ ,... Na vilianza vita na kufa watu zaidi ya laki 3 na sasa UN IMEONYA VURUGU KUBWA ZAIDI .
Wakimbizi walioingia tanzania sasa ni zaidi ya 16,000 Hakuna vyoo katika kijiji cha KAGUNGA Magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu tayari .. wanahitaji Maji safi na DAWA .. mzigo wetu ... Ni ndugu zetu ...
KENYA NA UJIO WA RAIS WA MAREKANI ....
No comments:
Post a Comment