Kwenye mashindano ya Italian open,
mcheza tenis Andy Murry amemrarua Jeremy Chardy kwa set 6-4 6-3 kwenye
mchezo wa mzunguko wa pili. Kwa matokeo hayo Murry atamenyana na David
Goffin kwenye mchezo utaopigwa baadae leo.
Kwa upande wake Heather Watson amegalazwa vibaya na Carla Suarez Navarro kwa set 6-1 6-1
No comments:
Post a Comment