Zaidi ya watu elfu moja wamepoteza maisha kufuatia tetemeko kubwa la ardhi nchini Nepal karibu na mji mkuu wa Kathmandu.
Polisi
wamesema idadi hiyo inaweza kuongezeka kwa kuwa watu wengi wamejeruhiwa
huku wengine wakishindwa kujulikana walipo kwa hofu huenda wamefukiwa
na kifusi. Tetemeko la ardhi mjni Nepal lenye vipimo vya richa 9.7
Tetemeko hilo lenye ukubwa wa
saba nukta tisa katika vipimo vya richa limeathiri maeneo ya katikati
mwa mji wa Kathmandu na mji wa Pokhara. Majengo kadhaa ya kihistoria yamevunjwa na tetemeko hilo. Tetemeko la ardhi Nepal
Serikali imetangaza hali ya dharura huku ikisema inahitaji msaada wa kimataifa.
No comments:
Post a Comment