Habari Rafiki,
Karibu TUTOKEVIPI? Hizi ni HARAKATI za kumkomboa kijana wa umri wa
miaka 18 – 35 , hili ni kundi kubwa zaidi katika nchi yetu na ndio asilimia 68
(68%) ya NGUVU KAZI ya TAIFA ila hawana kazi MAISHA magumu na machungu kama
SIFONGO .
Kijana wa kitanzania anaamka asubuhi hajui atakula nini ? atapata wapi
hata buku tu ! hajui kesho itakuaje , mwanae ataishi vipi , familia yake haina
mwelekeo .. na anahubiriwa kua ni TAIFA LA KESHO amabyo haifiki … its time we
take over our country ni wakati wa kuichukua nchi yetu , TUNAAMBIWA ZAIDI YA
NUSU YA NCHI YETU NI VIJANA we are the BOSS .
Ungana na VIJANA wengine kutafuta unafuu wa maisha na tujiletee maendeleo ..
MALENGO YETU : kuunda umoja na upendo
Kuutumia
umoja huo kutatua matatizo yetu .
Tufuate sasa kupitia media connection :…
Instagram – tweeter
TUTOKEVIPI
No comments:
Post a Comment