P. VIERA
Meneja wa timu ya vijana ya
Manchester City Mfaransa Patrick Viera huenda akachukua mikoba ya Manuel
Pellegrini kama atatimuliwa mwishoni mwa msimu.
Mchezaji huyu aliyemalizika soka lake akiwa na kikosi hicho amekua na mafanikio tangu alipoanza kukiongoza kikosi cha vijana cha timu hiyo,.
Hali hii imekuja baada ya mwenendo wa sasa wa kikosi cha Man city kilichopo chini ya mkufunzi Manuel Pellegrini kutokua mzuri licha ya kutumia pesa nyingi kusajili wachezaji.
Pia Manchester City imekuwa ikimuwania Kocha wa Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola
No comments:
Post a Comment