WAHAMIAJI HARAM
Utafiti mpya wa kituo cha Uingereza
British Think-Tank unasema kuwa Biashara ya binaadamu ni tatizo kubwa
linalokumba muungano wa ulaya .
Ripoti hiyo imeelezea namna maelfu ya wanaume na wanawake na watoto wananavyouzwa kwenye mipaka na magenge na kulazimishwa kufanya kazi za ngono ,utumwa na uhalifu .
Imetoa wito wa kuwepo kwa juhudi za pamoja za nchi za muungano wa ulaya kukabiliana na tatizo
No comments:
Post a Comment