Wednesday, 22 April 2015

KATI YA HAWA MSELA WAKO YUPI ?? WAMEDAKWA JANA WAKIJARIBU KUIBA za mwizi 40 .. wana wameng'ang'aniwa na MAPAI..


 
              

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam jana mchana .

Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

No comments:

Post a Comment